Dk Tulia Ackson atwaa medali ya dhahabu
Alianza Dk Tulia ambaye aliibuka na dhahabu katika mashindano ya kutembea kwa haraka au maarufu mwendo kasi.
Agnes Marwa aliibuka mshindi wa pili baada ya kutwaa medali ya fedha.
Yosepher Haule alitetea medali yake ya dhahabu 800m na Ana Gidarya aliyeshika nafasi ya tatu baada ya kutwaa medali ya shaba.
Kwa upande wa timu ya kupokezana vijiti (wanawake ) iliyoundwa na Waheshimiwa Rose Tweve, Yosepher Komba, Halima Mdee na Zubeda Sakuru haikubakisha chochote baada ya kutwaa medali ya dhahabu.
Wanaume kupokezana vijiti mita 400 (Relay) iliyoundwa na waheshimiwa Shaban Hassan Masala, Daniel Mtuka , Flatei Massay na Alex Gashaza waliibuka washindi wa ya tatu baada ya kutwaa medali ya shaba.

Comments
Post a Comment