Hata kina Samatta walianzia huku
Ebwana jana nilishuhudia show kali sana mpira wa makaratasi ‘sodo’ au ‘chandimu’ ilikuwa nusu fainali ya UEFA Academy Sodo Cup chini ya miaka 14 pale uwanja wa Mjeshi, Tandale-Yemen.
Full time Alshabab (Tandale) 2-2 Scorpion (Kijitonyama) game ikaamuliwa kwa matatu ambapo Scorpion wakafuzu kucheza fainali.
Nitakuwepo tena siku ya fainali kushuhudia mbungi na timu itakayotwaa mchele 10KG na Jogoo.





Comments
Post a Comment