KAKOLANYA ATOROKA KAMBINI YANGA USIKU WA MANANE
Kikosi cha Yanga kimeendeleza rekodi yake ya kucheza bila kupoteza mchezo katika Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kufanikiwa kuifunga timu ya Biashara United mabao 2-1 katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa.
Bishara United walifanikiwa kupata bao dakika ya 37 lililofungwa na Abdulmajid Mangalo hali iliyowafanya Yanga kusubiri kupata matokeo kipindi cha pili cha mchezo huo. Kipindi cha pili

Comments
Post a Comment