MANCHESTER UNITED YAMFUKUZA KAZI MOURINHO

Taarifa kutoka ndani ya Manchester United zinaeleza Kocha Jose Mourinho ametimuliwa kazi tayari.
Mourinho amefukuzwa kazi baada ya kipigo cha mabao 3-1 kutoka ya Liverpool.
Anaondoka ndio droo ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ikiwa imetangazwa na Manchester United imepangwa kucheza dhidi ya PSG.

Comments
Post a Comment