RASMI YANGA WATAMBULISHA KIFAA KINGINE


Wakati ikishuka dimbani kukipiga dhidi ya Biashara United na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, straika na winga mpya wa Yanga, Mkongomani, Reuben Bomba, jana alikuwa uwanjani kuishuhudia timu yake ikifanya maangamizi.

Comments