SERIKALI ILIVYOWAONYA YANGA KUHUSIANA NA UCHAGUZI


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amesisitiza kuwa uchaguzi wa klabu ya Yanga utafanyika kama ulivyopangwa na TFF tarehe 13 mwezi January,

 Waziri Mwakyembe ameyasema hayo Leo wakati akizungumza na waandishi wa baada ya kukutana na viongoz wa klabu hiyo ili kutatua changamoto za uchaguzi huo.+

Pamoja na mambo mengine Waziri mwakyembe  amesema wizara yake haimtambui  yusuph Manji kama mwenyewekiti a klabu ya yanga

Kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya TFF na Yanga juu ya mchakato wa uchaguzi huo huku baadhi ya wanachama wa Yanga wakitishia kususia zoezi la ipigaji kura endapo TFF itasimamia uchaguzi wao.

Comments