VIDEO: KOCHA YANGA AFUNGUKA MZITO BAADA YA KUTUA AIRPORT USIKU
Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amefunguka baada ya kutua nchini akitokea nchini Ufaransa kwenye biashara zao.
”Mimi kocha Mwinyi Zahera naomba wanachama waichangie klabu iweze kusafiri kwa ndege kwenda Mbeya ili tukacheze na tupate matokeo na mimi binafsi nitaongezea kiasi kitakachopelea”, amesema Zahera.
Comments
Post a Comment