Wababe wa Simba tayari wapo jijini



Kikosi cha klabu ya Nkana Fc, tayari kimewasili nchini Tanzania, kikitokea Zambia, kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa marudiano kombe la ligi ya Mabingwa Barani Afrika.
Nkana, itacheza na Simba, siku ya tarehe 23 mwezi huu katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Jina kamiliNkana Football Club
Jina la utaniKalampa (The Reds), Red Devils
Kuanzishwa1935
UwanjaNkana StadiumWusakiliKitwe
Idadi10,000
MwenyekitiEvaristo Kabila
MenejaZeddy Saileti
Mechi za mwisho za Nkana FC
CAF Champions League – kufuzu
15.12. 16:00Nkana (Zam)Simba (Tan)2 : 1W 
05.12. 16:00Nkana (Zam) UD Songo (Moz)1 : 0W 
28.11. 16:00UD Songo (Moz)Nkana (Zam)1 : 2W 
ZAMBIA: Super League
13.10. DynamosNkana0 : 4W A
06.10.NkanaNkwazi2 : 2D H
26.09.NkanaEagles1 : 0W H
23.09.R. ArrowsNkana1 : 1D A
19.09.NchangaNkana0 : 2W A
15.09.Nkana Leopards3 : 0W H
09.09.Kitwe utdNkana0 : 0D A
02.09.NkanaKabwe3 : 1W H
26.08.BuffaloesNkana0 : 1W A
19.08.NkanaKabwe2 : 0W H
11.08.Monze Nkana0 : 1W A
04.08.NkanaNAPSA 1 : 1D H
28.07.ZanacoNkana2 : 4W A
21.07.NkanaLumwana 3 : 0W H
13.07.ZESCONkana0 : 3W A
07.07.P.DynamosNkana2 : 2D A
03.07.NkanaNational  2 : 2D

Mpaka sasa Nkana haijafungwa takribani michezo 22 iliyopita. Mara ya mwisho walifungwa na Lusaka Dynamos mwezi wa 6.
Historia ya Nkana kwenye michuano ya kimataifa
Klabu bingwa Afrika: Wameshiriki mara 3
2000 – Mzunguko wa pili
2002 – Mzunguko wa pili
2014 – Mzunguko wa pili
African Cup of Champions Clubs: 9
1983: Nusu fainal
1984: Robo fainali
1986: Nusu fainal
1987: Mzunguko wa pili
1989: Nusu fainal
1990: Fainali
1991: Nusu fainal
1992: Robo fainali
1993: Robo fainali
CAF Cup Winners’ Cup: 2
1998 – Robo fainali
2001 – Mzunguko wa pili
CAF Cup: 1
1999 – Mzunguko wa pili

Comments