UCHAMBUZI: NAMNA SIMBA ITAKAVYOPENYA AU KUTOPENYA HATUA YA MAKUNDI CAF



Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamepanga Kundi kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika wakiwa na timu za JS Saoura, AS Vita pamoja na mabingwa mara nane wa michuano hiyo, National Al Ahly SC ya Misri.  

Timu mbili zitakazokuwa juu kwenye kundi hilo, zitafuzu robo fainali ya michuano hiyo. Je, Simba wana nafasi gani? Fuatilia mjadala mkali wa uchambuzi wa kundi hilo kupitia kipindi cha Dakika 90 cha Azam Sports 2 ambacho hukujia kila Jumatatu saa 3:30 usiku.  

Mbali na hilo, pia kumejadiliwa matukio yote ya kimichezo yaliyochukua nafasi wiki hii hasa katika Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja Ligi Daraja la Kwanza (FDL) bila kusahau ujio wa michuano ya Kombe la FA ya Uingereza katika king’amuzi chako cha Azam TV. 

Wachambuzi Charles Abel, Abdullah Mkeyenge na Thobias Sebastian wakiongozwa na Ahmed Ally hawa hapa wakifunguka.

Comments