“Nahisi kutapika nikisikia KWA MCHINA”-Mwakyembe
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe amepiga vita uwanja wa taifa kuitwa KWA MCHINA kama ambavyo imeanza kuzoeleka siku za hivi karibuni.
Angalia video hapa chiniWaziri Mwakyembe akionesha kukerwa na wanaoiuta KWA MCHINI uwanja wa Taifa. Bofya PLAYkwenye link ya #YouTube uangalie kupitia
Comments
Post a Comment