Vipigo vya Simba kimataifa Shaffih Dauda awajia juu Ma-Pro
Asilimia kubwa ya wachezani wa kigeni wanaokuja kucheza Tanzania viwango vyao vinafanana na wachezaji wetu wazalendo ndio maana sio jambo la kushangaza kuwaona baadhi yao hawapati nafasi kwenye timu zao.
Inapotokea wanatakiwa kuzisaidia timu zao kwenye mashindano ya kimataifa viwango vyao vinakuwa vimeachwa mbali na wachezaji wa timu za wenzetu.
Kuna haja gani ya kuwa na wachezaji wengi wa kimataifa lakini hawana msaada kwenye timu?
Comments
Post a Comment