DROO YA UEFA: Man United uso kwa uso na Barcelona, tazama ratiba yote hadi mchezo wa fainali



Leo mchana droo ya robo fainali ya Klabu bingwa barani Ulaya imepangwa, ambapo klabu ya Manchester United ya Uingereza imepangwa na Barcelona ya Hispania kwenye hatua hiyo

Man United ndio wakaoanzia nyumbani Old Trafford kati ya tarehe 9/10 Aprili 2019. Tazama droo yote hapa chini



Droo hiyo, pia imepangwa na hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo, ambapo mshindi kati ya Barcelona na Man United atacheza nusu fainali na mshindi kati ya Liverpool na FC Porto.
Mshindi atakayepita kati ya Man City na Spurs atacheza dhidi ya Ajax na Juventus.


Comments