Chama amezungumzia goli lake lililoipeleka Simba makundi Afrika



Goli la dakika za jioni lililofungwa na Clatous Chota Chama dhidi ya Nkana ndio liliivusha Simba kwenda hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika 2018/19.
Goli hili litabaki katika kumbukumbu za wanasimba na wadau wa soka pamoja na vitabu vya historia, kila mtu alilipokea kwa namna yake lakini hatukujua mfungaji kwake ilikuaje…kwa mara ya kwanza Chama anazungumzia goli hilo.
“Ni goli zuri na lenye ubora, lilikuwa ni shambulio zuri ambalo lilimaliziwa kwa ufasaha”-Clatous Chama.
Full video ipo #YouTube kupitia #DaudaTV Chama akielezea goli la ushindi aliloifungia Simba dhidi ya Nkana FC na kuifanya ifuzu hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika.
#ClatousChotaChama #TripleC

Comments

Popular Posts