“Kichapo cha AS Vita ni darasa kwa Simba”-Patrick Aussems
Kocha wa Simba kupitia ukurasa wake wa Twitter @PatrickAussems amesema kichapo cha mabao 5-0 kutoka kwa AS Vita kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika hatua ya makundi lazima iwe darasa kwao huku akizitaja baadhi ya sababu za kupoteza mechi hiyo kwa idadi kubwa ya magoli
“Kamwe huwa sishindwi, huwa nashinda au najifunza (Nelson Mandela). Champions League ni level ya juu kabisa kwa soka la Afrika. Kwenye mchezo dhidi ya AS Vita tulipoteza umakini, ari ya kupambana, hatukuwa na makali halafu tulifanya makosa mengi ya kiufundi yaliyopelekea tuadhibiwe.”
“Hili lazima liwe somo zuri kwetu.”
Comments
Post a Comment