Kutana na Juma Mahadhi mzee wa SINGELI



bwana mara nyingi wachezaji wanapokuwa wanaelekea kwenye game huwa tunawaona wakiwa na earphones au headphones masikioni mwao wakisikiliza midundo ya ngoma kali.
Ukipiganao story wanasema muda mwingi wanapokuwa safarini huwa wanasikiliza ngoma kali ili wasiwe bored na wanapokuwa wanaelekea kwenye mechi mara nyingi pia huwa wanashauriwa kusikiliza muziki ili wapate mzuka na kuondoa presha ya mechi.
Mzee baba Juma Mahadhi anasema muziki ni kitu kingine anachokipenda ukiondoa soka, anasema anapokuwa anaelekea kwenye mechi PLAY LIST yake haikosi ngoma za SINGELI kwa sababu huwa zinampa VIBE la kutosha kabla ya game.
Ukiachana na soka na muziki, mahadhi pia anapenda kula vizuri…tembelea #YouTube channel yangu kwa jina la #DaudaTV utakuta full interview kuhusu Juma Mahadhi.


Comments

Popular Posts