Makambo atuliza PRESHA Yanga
Afisa habari wa Yanga Dismas Ten ametoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimhusisha mshambuliaji wao Heritier Makanbo kutoweka Yanga.
“Makambo alisafiri kwenda Congo DR kwa mapumziko kwa hiyo wakati wowote kuanzia sasa atarejea nchini kuungana na timu”-Dismas Ten, afisa habari Yanga.
“Kulikuwa na shida katika mawasiliano lakini amepatikana na amesema wakati wowote atarejea.”
Comments
Post a Comment