Mwakyembe azindua nembo ya AFCON U17
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe, leo Alhamis Februari 14,2019 amezindua nembo maalum ya fainali za Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 zitakazofanyika kuanzia mwezi April huku Tanzania ikiwa mwenyeji.
Angalia #YouTube full video ya uzinduzi wa nembo ya fainali za AFCON U17 kupitia
Comments
Post a Comment