Rabbin Sanga aonesha vitu adimu Uturuki
Rabbin Sanga anaendelea kuwavuruga vijana wa kituruki kwenye Academy ya Besiktas kutokana na uwezo wake mkubwa wa kupokea mpira na kuachia pasi ambao umekuwa silaha kubwa anayowaadhibia wazungu.
Jana Jumanne February 5, 2019 ilikuwa ni siku yake ya pili ya majaribio lakini leo anaingia katika siku yake ya tatu katika majaribio.
Waratibu wa safari na majaribio ya Sanga kampuni ya Beko bado wameendelea kumuunga mkono katika majaribio hayo kuhakikisha anafanya vizuri na kuchaguliwa na academy hiyo.
Unaweza kuangalia #Udambwidambwi wa Rabbin Sanga kupitia YouTube hapo chini. Bofya PLAY uendelee ku-enjoy.
Comments
Post a Comment