Do or Die: kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera aizungumzia mechi ya Simba dhidi ya Wakongo AS Vita ‘Vita ni hatari nje ya nchi’ (+video)

Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga raia wa Kongo, Mwinyi Zahera amesema kuwa mechi ya mtani wao Simba SC hapo kesho dhidi ya Wakongo AS Vita Club michuano ya klabu bibwa Afrika itakuwa ngumu pande zote mbili kwakuwa kila mmoja anayonafasi ya kutinga hatua ya robo fainali, huku akisistiza kuwa Vita huwa hatari zaidi wanapokuwa ugenini.

Comments