MAZEMBE WAPEWA NAFASI YA KUFUNGWA NA SIMBA MABAO MENGI KWA MKAPA



Mwanamuziki na shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba, Hamis Mwinjuma, maarufu kama Mwana FA, amewapa nafasi Simba ya kuibuka na ushindi mnono dhidi ya TP Mazembe katika mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.


Comments

Popular Posts